BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Kombe la Dunia 2026: DRC chupuchupu wamchezeshe Ronaldo ndombolo ya solo, Ureno 1vs DRC 1
Wawakilishi wa Afrika DRC waliotoka nyuma na kusawazisha dakika ya mwisho ya kipindi cha kwanza. Ni vory Coast pekee kutoka Afrika aliyeanza na ushindi. Afrika Kusini, Tunisia, Senegal, Algeria zilianza kwa kipigo wakati Morocco, Cape Verde na Misri zenyewe zilianza kwa sare.
Israel yaanzisha mashambulizi mapya dhidi ya Lebanon licha ya ukosoaji wa Trump
Trump alisema Jumanne wa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anastahili "kuzingatia kushirikishwa kwa Lebanon" katika mpango wa amani uliofikiwa kumaliza mzozo mashariki ya kati.
Sababu tatu zinazozuia meli kupita Hormuz licha ya makubaliano ya Marekani na Iran
"Kufunguliwa kwa mlango huo kunaweza kutokea haraka kwa mtazamo wa kisiasa au kiusalama, lakini kurejea kwa mfumo wa kawaida wa biashara ya meli kutakuwa mchakato wa taratibu," anasema Dimitris Ampatzidis wa Kpler.
Kwa nini viongozi wa dini ya Kiislamu wanakamatwa Urusi?
Kuanzia 2023 kumekuwa na mfululizo wa "uvamizi" kwenye maeneo ya ibada ya Waislamu, ambapo wahamiaji walikamatwa na kupelekwa moja kwa moja kwenye ofisi za usajili na uandikishaji wa kijeshi
Utata wa $300 bilioni za Iran unavyoibua vita mpya Marekani
Kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa na Reuters, mfumo wa makubaliano kati ya Washington na Tehran unajumuisha mpango wa kuanzisha mfuko wa uwekezaji wa sekta binafsi wenye thamani ya dola bilioni 300 kwa ajili ya kuchochea uwekezaji nchini Iran baada ya vita vya miezi kadhaa vilivyoikumba nchi hiyo.
Kombe la Dunia 2026: Ratiba, msimamo na matokeo
Kombe la Dunia 2026: Nchi tatu, viwanja 16
Iran yasema imeshinda vita, wananchi wake wanauonaje ushindi huo?
Ila kuna raia wa Iran ambao wapo ndani na nje ya nchi hiyo ambao hawaoni kama diplomasia ndiyo itatatua mgogoro uliopo, ila kwao ni nafasi nzuri ya kubadilisha utawala wa Iran.
Kwa nini uume ni kipimo muhimu cha afya ya mwanaume
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi punde, wanaume wenye tatizo la kushindwa kusimamisha uume walibainika kuwa na uwezekano mkubwa kwa asilimia 59 wa kupata ugonjwa wa mishipa ya moyo na uwezekano mkubwa kwa asilimia 34 wa kupata kiharusi.
Waridi wa BBC: "Mazishi yangu yalishaandaliwa" simulizi ya mwanamke anayeishi na HIV kwa miaka 30
Kipindi hicho Margret anapatikana na virusi vya HIV, dawa za kupunguza makali ya ugonjwa wa ukimwi yalikuwa bado hayajafika nchini Kenya, ilimlazimu kuficha hali yake ya Afya hadi alipojifungua mwaka wa 1999, ila bahati mbaya mwanawe alifariki miezi miwili baadaye.
Tetesi za usajili: Tonali aziingiza vitani Arsenal, Man City na Spurs
Tottenham imeingia katika mbio za kumuwania Sandro Tonali, Real Madrid yamtaka Ruben Dias, huku Manchester United ikiweka bei ya Marcus Rashford.
Kombe la Dunia 2026: Pengo kati ya Wababe wa Soka na Afrika linazidi kupungua
Timu za Afrika zina vipaji, ustadi, na uwezo, lakini kwa miaka mingi zimekuwa chini ya wababe wa Ulaya na Amerika Kusini. Lakini pengo hilo lililozoeleka kwa miaka mingi katika soka, sasa linapungua kwa kasi.
Trump amefanya nini tofauti na Obama kuhusu Iran?
"Wazo kwamba tunaweza kuwalazimisha wengine kwa nguvu au kutatua matatizo kwa mabomu linaweza kuonekana la kuvutia wakati mwingine. Hata hivyo, ukweli ni kwamba ni muhimu kutoa muda kwa diplomasia hata kama hayatamaliza tatizo kwa asilimia 100, yanaweza kulitatua kwa asilimia 80 au 90 huku yakiepusha ulazima wa kuingia vitani," alisema Obama.
Kombe la Dunia 2026 - Mechi na Matokeo
Pata matokeo, ratiba za mechi, magoli na wafungaji mubashara wa Kombe la Dunia 2026 sehemu moja.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Ifahamu droni ya baharini iliyotumiwa na Marekani kuwaokoa wanajeshi wake
Hiki ni kisa cha kwanza kinachojulikana ambapo chombo kisicho na rubani kimetumika kutekeleza kazi ya uokoaji.
Je, wanadamu wanaweza kupata watoto katika anga za juu?
Jumuiya ya watafiti wa anga za juu imetoa ahadi kubwa kuhusu mustakabali wa maisha ya binadamu nje ya Dunia.
Ziara ya Rais Samia Urusi: Tulichojifunza na maswali mapya
Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiitembelea Urusi wiki hii, vichwa vya habari katika vyombo vya habari vya kimataifa, vinasomeka, “Rais wa Tanzania aitembelea Urusi, huku uhusiano na Magharibi ukizorota.”
CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?
Mitandao ya kijamii nchini Tanzania imelipuka kwa mjadala kuhusu jina moja tu - "Yuda". Limeibuliwa na mwanasiasa Simai Mohammed Said. Yuda ni nani? Kwanini Simai ameamua kuzungumza sasa? Na kwa nini achague Bunge, badala ya vikao vya chama, kuwasilisha ujumbe huo?
Kwanini Kim Jong-un huwa hamzungumzii mama yake?
Ko alifariki kabla ya Kim Jong-il, ila kifo chake katika hospitali moja mjini Paris hakikutajwa na vyombo vya habari vya Korea kaskazini.
Kuanzia Makonda hadi Mafwele, hawa ni 'vigogo' 5 Afrika Mashariki waliopigwa marufuku kuingia Marekani
Nchi za Afrika Mashariki, zimekumbwa na vikwazo vya watu wake kuzuiwa kuingia Marekani huku majina makubwa ya kisiasa na kiusalama, kutoka Tanzania, Kenya, hadi Rwanda na Uganda yakiguswa.
Hali ya maisha katika nchi tano salama zaidi duniani 2026
Viwango vya jumla vya amani vilizorota katika nchi 99, ikiashiria mwaka wa kumi na mbili mfululizo wa kushuka kwa hali ya usalama ulimwenguni.
Hifadhi za urani iliyorutubishwa za Iran ziko wapi?
Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) lilisema wakati huo kwamba Iran ndiyo nchi pekee isiyo na silaha za nyuklia duniani iliyofikia kiwango hicho cha juu cha urutubishaji.
Mataifa 10 ya Afrika yaliyo na uwezo mkubwa wa kiviwanda: Morocco yaipiku Afrika Kusini
Afrika imeshuhudia mabadiliko katika ukuaji wa kiuchumi kati ya Morocco na Afrika Kusini mwaka uliopita 2025, kulingana na Kielezo cha Maendeleo ya Viwanda cha Benki ya Maendeleo ya Afrika(AfDB)
Kutoka kivuli hadi alama ya nguvu duniani, Putin alijengaje taswira yake?
Kwa miaka mingi, Vladimir Putin ameibadilisha Urusi kutoka taifa lenye demokrasia changa na dhaifu kuwa dola yenye mfumo wa kiutawala wa kimabavu ambao kwa kiasi kikubwa umejengwa kumzunguka yeye kama rais.
Kauli tata za wanasiasa wanaohama vyama Tanzania
Ingawa kisheria kuhama chama ni haki ya kikatiba ya kila mwanasiasa, mjadala mkubwa hubaki kwenye maneno waliokuwa wakiyasema wakati wakiwa kwenye vyama wanavyovihama, maneno ambayo mara nyingi huonekana kugongana na hatua zao za baadaye.
Kwa nini Netanyahu anatajwa kuwa kikwazo katika makubaliano ya amani kati ya Marekani na Iran?
Vyombo vya habari vya Uingereza vilijadili masuala mbalimbali ya ndani na ya kimataifa, ikiwemo maendeleo ya juhudi za kufikia makubaliano kati ya Marekani na Iran na nafasi ya Israel katika hilo.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 18 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 17 Juni 2026, Muda 1,00,30
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 17 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 17 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
























































